Natafuta any volunteering position at any related NGO

Dee_Aristotle

Member
Joined
May 29, 2021
Posts
54
Reaction score
30
Hello members,

I am university graduate from UDSM, studied (BAED) Linguistics and literature graduated with GPA of 3.8 natafuta any NGO nipate volunteering position ili niweze ku-advance my career.

I am expert on Ms word, powerpoint and Excel studied at (UCC-UDSM), I have ability to meet deadlines, excellent attention to details, goal-oriented, time management and ability to learn quickly. Ahsanteni sana.

Mawasiliano
0673571711
Dar es salaam.
 

Hongera! Uzi mzuri sana.
 
haikuwa lazima uandike Kingereza
 
Hizi GPA ndio maana mataifa yaliyopiga hatua huwa hawadeal nazo, zinabeba uongo mwingi sana kuhusu uwezo.

Sasa mleta uzi unasema upo vyema kwenye lugha ila still naona una magepu kibao hapo katika uzi wako.

Khaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo 'i' si inabidi iwe capital ndugu? Ningekuwa wewe ningehariri andiko, badala ya 'appreciate' ningeweka ' apologize '. Waajiri wenyewe wako humuhumu usikate tamaa fuata miongozo.
Dah
 
Mzee unadanganya kusema una good command of english language, edit umefanya makosa mengi tu humu ya wazi
Ok 🙏 for your time ndugu.
I apologize ndugu yangu inahitaji tujifunze na kukua ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…