Natafuta apple computers

leseiyo

Senior Member
Joined
Oct 25, 2007
Posts
116
Reaction score
3
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi .kuhusu wapi nitapata computer ya mic tosh ya bei nafuu. tafadhali nijulishe
 
Najua pale sea cliff kuna duka la apple. Bei nafuu sio rahisi, Apple products are overpriced.
 
Asante!
vipi kuhusu jina la duka? kama wajua na omba unijulishe mkuu
 
Asante!
vipi kuhusu jina la duka? kama wajua na omba unijulishe mkuu
Another place:
Elite Computers
Upanga, near Shaaban Robert
Opposite na Olympio pr/ school
 
kama bado unahitaji ipo Mac bei fresh weka email yako au simu tufanye biashara
 
Last edited:
Kama ni kweli unatafuta mac na unajua unataka nini, kwanza usizungumze habari ya bei poa. Ila used zipo, Mac Book M.1.5. Mac Book Pro-M 2. Power Book G 4. 800,000 na Mac Book Air, 2.5.
Nenda Mwembechai Plaza.
 
Asante!
vipi kuhusu jina la duka? kama wajua na omba unijulishe mkuu

Sijui jina ila hauwezi kulikosa, lipo Sea Cliff Hotel kwenye ile sehemu ya pembeni yenye Supermarket/Spurs etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…