natafuta apple ipad kubwa.. ni bei gani na wap zinapatikana kiurahisi.. Nipo Dsm

Sio bei gani unayo. Kiswahili safi sema una kiasi gani.

mkuu nimetoa cont. hapo tuwasiliane.. tuonane tuzungumze biashara au wataka kuniuzia mbuz kwenye gunia...!
 
Apple i pad kubwa nunua projector na kitambaa chake.

Wewe sema unataka i pad.. ama i pad 2 +3g etc kama hujui vizuri google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…