Natafuta Apprtment ya NHC Dar

Natafuta Apprtment ya NHC Dar

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu

Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini

Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
 
Ningependa kujua pia miji mingine utaratibu wa kupanga upoje,mfano Mwanza,Dodoma na Arusha kama zipo
 
Back
Top Bottom