Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Feb 13, 2023 #1 Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Feb 13, 2023 #2 Ningependa kujua pia miji mingine utaratibu wa kupanga upoje,mfano Mwanza,Dodoma na Arusha kama zipo
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 715 Reaction score 1,619 Feb 14, 2023 #3 Dr. Zaganza said: Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu Click to expand... Unafahamu kitu kinachoitwa KIREMBA kuhusiana na hizo nyumba?
Dr. Zaganza said: Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu Click to expand... Unafahamu kitu kinachoitwa KIREMBA kuhusiana na hizo nyumba?
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Feb 14, 2023 Thread starter #4 Bexb said: Unafahamu kitu kinachoitwa KIREMBA kuhusiana na hizo nyumba? Click to expand... Niko tayari
Bexb said: Unafahamu kitu kinachoitwa KIREMBA kuhusiana na hizo nyumba? Click to expand... Niko tayari