Natafuta asali kwa mtu ambaye anauza

Natafuta asali kwa mtu ambaye anauza

cpb

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
156
Reaction score
87
Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara

Asali nyuki wakubwa kwa wadogo
awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto.

Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara
nahitaji kiasi kikubwa cha ujazo kuanzia lita 100 nakuendelea
MUNGU AWABARIKI KARIBU TUFANYE BIASHARA
 
Kwa wale wanaojua mtu anayoweza kuwa nayo au eneo naweza pata naomba pia msaada wenu
 
Mi ninayo kutoka nyanda za juu kusini njoo tufanye biashara
mkuu ni pm na hyo number yangu tuongee
 
Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara

Asali nyuki wakubwa kwa wadogo
awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto.

Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara
nahitaji kiasi kikubwa cha ujazo kuanzia lita 100 nakuendelea
MUNGU AWABARIKI KARIBU TUFANYE BIASHARA
Ulishafanikiwa kupata asali mkuu?
 
Back
Top Bottom