M MIFUGOKILIMO SUPPORT Member Joined Mar 18, 2015 Posts 51 Reaction score 0 Jun 18, 2015 #1 Nisaidieni kupata AUTOMATIC INCUBATOR yenye uwezo wa kutotoa mayai 300
C CHIDONGA Member Joined Oct 17, 2012 Posts 9 Reaction score 3 Jun 18, 2015 #2 MIFUGOKILIMO SUPPORT said: Nisaidieni kupata AUTOMATIC INCUBATOR yenye uwezo wa kutotoa mayai 300 Click to expand... piga namba 0754245795 zipo zakutosha na za ukubwa mbalimbali au tembelea instagram account yetu ni qualityincubator utaona picha zipo pia
MIFUGOKILIMO SUPPORT said: Nisaidieni kupata AUTOMATIC INCUBATOR yenye uwezo wa kutotoa mayai 300 Click to expand... piga namba 0754245795 zipo zakutosha na za ukubwa mbalimbali au tembelea instagram account yetu ni qualityincubator utaona picha zipo pia
C CHIDONGA Member Joined Oct 17, 2012 Posts 9 Reaction score 3 Jun 18, 2015 #3 tunazo zenye uwezo kuanzia mayai 352 mpaka 5500
T The GT JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 461 Reaction score 529 Jun 19, 2015 #4 CHIDONGA said: piga namba 0754245795 zipo zakutosha na za ukubwa mbalimbali au tembelea instagram account yetu ni qualityincubator utaona picha zipo pia Click to expand... Ya mayai 3,000 ni bei gani na specification zake?
CHIDONGA said: piga namba 0754245795 zipo zakutosha na za ukubwa mbalimbali au tembelea instagram account yetu ni qualityincubator utaona picha zipo pia Click to expand... Ya mayai 3,000 ni bei gani na specification zake?
ELIASANTE JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 330 Reaction score 67 Jun 19, 2015 #5 Kama unataka za kuunda hapahapa tanzania,automatic incubator tunazo,za mayai mia tatu ni tsh.milioni moja na laki mbili.guarantee mwaka mmoja. Tupigie,0784413039
Kama unataka za kuunda hapahapa tanzania,automatic incubator tunazo,za mayai mia tatu ni tsh.milioni moja na laki mbili.guarantee mwaka mmoja. Tupigie,0784413039
L lilianjr Member Joined Feb 16, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jul 18, 2015 #6 tupigie 0767 849089 utapata mashine za kisasa kabisa