Natafuta Azola kwa mkoa wa Mbeya

Natafuta Azola kwa mkoa wa Mbeya

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Habari wakuu,

Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa.

Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
 
Habari wakuu,

Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa.

Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
Kama unatumia mtandao wa twiter mtafute kijana mmoja yupo SUA hapo Morogoro anaitwa Benno Lymo
 
Back
Top Bottom