Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,296 Reaction score 3,398 Jul 22, 2023 #1 Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2023 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
mr man city JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 467 Reaction score 319 Jul 22, 2023 #3 Mndengereko said: Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please. Click to expand... Kama unatumia mtandao wa twiter mtafute kijana mmoja yupo SUA hapo Morogoro anaitwa Benno Lymo
Mndengereko said: Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please. Click to expand... Kama unatumia mtandao wa twiter mtafute kijana mmoja yupo SUA hapo Morogoro anaitwa Benno Lymo
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Jul 24, 2023 #4 mr man city said: Kama unatumia mtandao wa twiter mtafute kijana mmoja yupo SUA hapo Morogoro anaitwa Benno Lymo Click to expand... Ndio. Na atamsafirishia mpaka mbeya.
mr man city said: Kama unatumia mtandao wa twiter mtafute kijana mmoja yupo SUA hapo Morogoro anaitwa Benno Lymo Click to expand... Ndio. Na atamsafirishia mpaka mbeya.