Natafuta Bajaj mpya ya mkataba

Natafuta Bajaj mpya ya mkataba

NgomaJr

New Member
Joined
Jun 10, 2023
Posts
1
Reaction score
1
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24.

Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa jambo hlo please
 
Hii wacheki benki mkuu wanaweza kufanya na wewe biashara. Kama hawatoweza kuingia mktaba na wewe Ina Mana haina manufaa kwao so itabidi usubirie mwenye huruma na upendo wa dhati
 
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24.

Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa jambo hlo please
20,000x365x2=14,600,000
 
Back
Top Bottom