Natafuta bajaji ya mkataba

Natafuta bajaji ya mkataba

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Poleni na kazi wakuu,

Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.

Napatikana Dar.

Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia na kejeri.
 
Sina la kusema zaidi ya kukutakia kila la kheri...

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Na tafta mtu wa kuendesha TOYO (pikipiki ya magurudumu 3) iwe mkataba au hesabu …….. kwa kifupi sana nahitaji mtu asiye msumbufu….. location kariakoo …. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane…. 0742612561
 
Poleni na kazi wakuu,

Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.

Napatikana Dar.

Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia na kejeri.
Mo naona anakopesha bajaj kwa wakazi wa Dar, jaribu kufuatilia taratibu zake, labda anaweza kukufaa.
 
Poleni na kazi wakuu,

Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.

Napatikana Dar.

Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia
Nitumie no zako za wasap
 
Back
Top Bottom