Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Mo naona anakopesha bajaj kwa wakazi wa Dar, jaribu kufuatilia taratibu zake, labda anaweza kukufaa.Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana Dar.
Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia na kejeri.
Nitumie no zako za wasapPoleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana Dar.
Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia
0769130200Nitumie no zako za wasap
Nimekupigia wasap0769130200