Andaa 2.5m TZS
Njoo Tandale muhalitanWap naipata nije?
Njoo Tandale muhalitan
M Sport au kawaida? Ungeenda pale wanapo chinja magari ukitaka pia namba ya mtu niambie aatakusaidia.
nimeku PM no ya Fundi wa miaka mingi wa BMW alikuwaga na karakana pale Kurasini Mivinjeni ,Mcheck anakuwaga nayoTandale nimetafuta hakuna
nimeku PM no ya Fundi wa miaka mingi wa BMW alikuwaga na karakana pale Kurasini Mivinjeni ,Mcheck anakuwaga nayo
Ukikosa nicheki Pm nikupakilie SA truck inatoka wiki ijayo J5 unitumie picha na tukubaliane bei na mazingira ya kulipana maana naweza kupakia tuu harafu kumbe hauitaji sasa hivi nikabaki na makorokoro tu..
Ok sawa kataja bei ndogo au?Huyo jamaa niliyepewa no yake nimemchek amejibu anayo kesho ntaenda kumuona ila na wasiwasi nae bei aliyotaja [emoji23]
Ebu taja bei tuoneHuyo jamaa niliyepewa no yake nimemchek amejibu anayo kesho ntaenda kumuona ila na wasiwasi nae bei aliyotaja [emoji23]
It is very disappointing gari inahitaji kakipuri fulani inabidi upande daladala for months hadi kipatikane au uingie gharama ya kumiliki at least two cars. Sometimes tatizo sio pesa ila upatikanaji wa spea; inaboa sana.Wazee wa kuteseka na vipuri hahahaha
Basi wazee wa toyota wakiona hivi wanafuraaaahi
Huyo hapoWazee wa kuteseka na vipuri hahahaha