Asante sana kwa ushauriMKUU kuwa makini na hizo BARAKOA, sasa WATU WANAZISAFISHA NA KUUZWA TENA ..
Sent using Jamii Forums mobile app
kikaniki mtume kijana wako aende KCMC Hospitali,Moshi... Wanatengeneza wenyewe hapo hospitali, wanauza boksi moja lenye barakoa 50 kwa shilingi 100,000.Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa.
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Zahab Electricals:Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa.
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app