Natafuta bata bukini na bata weupe (pekin) kwa ajuaye tafadhali

Babumaua

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
25
Reaction score
3
Naomba kwa anayejua wanakopatikana hao bata bukini na bata weupe(pekini) anijulishe nahitaji kuwanunua kwa ajili ya kufuga kufuga. nipo dar.
Asante
 
mkuu nenda Ruvu Jkt
 
Naomba kwa anayejua wanakopatikana hao bata bukini na bata weupe(pekini) anijulishe nahitaji kuwanunua kwa ajili ya kufuga kufuga. nipo dar.
Asante

nitakupm no ya mzee wangu anao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…