Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali nahitaji bata mzinga wa kufuga. Kama kuna mtu anauza aniPM tafadhali
Tafadhali nahitaji bata mzinga wa kufuga. Kama kuna mtu anauza aniPM tafadhali
mkuu kama uko mbali mtafute KITOMARI mtafanya biashara nzuriNipo stone town Iringa mjini.Anauza shilling ngap wadogo, na wakubwa?
mkuu kama uko mbali mtafute KITOMARI mtafanya biashara nzuri
mkuu, ushauri unaompa umezamilia?
mkuu kama uko mbali mtafute KITOMARI mtafanya biashara nzuri
kaka hawa wanaotaka kununua vitu wakiwa mbali na muuzaji watakua kwa njia moja au nyingine wanachochea biashara masuala ya kitomari kujirudia tena hapa.
mkuu mimi nilinusurika kwa kitomari tangu hapo niko makini balaa.Nilienda arusha kikazi nilipofika nikawa nawasiliana na huyu kitomari tukakubaliana atanipa mzigo nikafunga safari hadi tengeru kupiga simu yake haikupatikana baadaye nikaja huku JF ndo nikakuta hizi mada zake.Kimsingi tusiaminiane kabisa kwenye hili swala>biashara nzuri ni mkono kwa mkono.mimi nahisi jamaa afunge safari afate mzigo, ila hii ishu ya kuaminian sometimes inaleta matatizo.