TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 496
- 515
Asante sana mkuu, ngoja niende hapo ni jirani sanaKama upo Dar nenda kule kariakoo anzia polisi msimbazi chonga kama unalitafuta jengo la club ya yanga kabla hujalifikia hilo jengo utakutana na marundo ya hayo material vijana wa mjini wameyachukuwa kwenye magoroga yaliyofanyiwa finishing. Wanayauza bei ya chee sawa na bure kabisa.
Asante sana Mkuu, nitakuchekiNjoo tegeta ntakuwa mwenyeji wako mm sio dalali ntakupeleka chocho kwa chocho ujionee mwenyewe na ununue mwenye
Mbao Mpya za aina zote na used za aina zote
Mabati Mpya na used kila aina
Marine Mpya na used size zote
Kila kitu cha ujenzi kinapatikana used na vipya mm nakaa mtaa huo so ni mwenyeji na ni sehemu maarufu tu kwa sasa kwa vitu vya ujenzi karibu
.0783231177
Mkuu hizo kokoto nyeusi 120k ni kwa ujazo upi?Guys nawashukuruni sana Kwa mchango wenu, nilifanikiwa kufuatilia sehema ambazo mlinijuluisha ni kweli nilipata na kupitia wao nikapata sehem zingine zaidi.
Mabati yapo mengi sana kule taifa kiwanda cha ALAF na sunshare, so nilipata, playwood used nilipata kariako na mbao nilipata Buguruni na Yombo, na Mchanga na kokotpo nilipata kule kinyerezi (kokoto nyeusi 120k na mchanga 40k). Mbao used nilipata Saranga. So asante sana
Meter cubic moja na nusu,Mkuu hizo kokoto nyeusi 120k ni kwa ujazo upi?