Natafuta benki inayotoa mkopo kwa muda wa miaka 10

Mdumi ashery

New Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Nauliza benki inayotoa mkopo kwa muda wa miaka 10.

Nataka wakate makato ya Tsh. 300,000.

Kiasi gani ambapo basic yangu ni Tsh. 992,000?
 
Yani kiasi unachokopa hujui ila we cha muhimu ukope tuu? seriously?
Miaka 10 ina miezi 120 ukikatwa laki tatu kwa miaka kumi utalipa 36M.
36m je mm watanip ngap hapo na nitaludish sh ngap jumla pamoja na riba
 
Upo public au private sector?

Kama upo public ingia ess.utumishi then kipengele cha loan.

Kama upo private fika bank tofauti tofauti onana na loan officers.

Ukifanya hivyo utapata majibu ya uhakika Zaid.
 
Mbona kipekengele cha loan ess sioni sehemu ya kukopa benki zingine?
Pia sehemu ya kukupa upya benki unayodaiwa mwishoni hakuna results.
Nafika hadi mahali pa top up lakini haitoi majibu.
Msaada please
 
1. Benk zingine unaziona ukibonya loan products catalogue ambapo utaona NMB, NBC,CRDB,AZANIA, TPB, n.k

2. Top up ukibonyeza Utoana Balance application then endelea kila kitu kipo wazi
 
Thanks.
Naweza kukopa bila kwenda benki?
 
Back
Top Bottom