Mdumi ashery
New Member
- Feb 24, 2017
- 3
- 2
36m je mm watanip ngap hapo na nitaludish sh ngap jumla pamoja na ribaYani kiasi unachokopa hujui ila we cha muhimu ukope tuu? seriously?
Miaka 10 ina miezi 120 ukikatwa laki tatu kwa miaka kumi utalipa 36M.
Hapo swali ilibidi liwe "watanipa ngapi" maana cha kurudisha ushasema ni 36m.36m je mm watanip ngap hapo na nitaludish sh ngap jumla pamoja na riba
Hapo unakuta umepewa 10m tu. Yaani ukope 10m kwa miaka 10 jumla utalipa 36m.36m je mm watanip ngap hapo na nitaludish sh ngap jumla pamoja na riba
Mbona kipekengele cha loan ess sioni sehemu ya kukopa benki zingine?Upo public au private sector?
Kama upo public ingia ess.utumishi then kipengele cha loan.
Kama upo private fika bank tofauti tofauti onana na loan officers.
Ukifanya hivyo utapata majibu ya uhakika Zaid.
1. Benk zingine unaziona ukibonya loan products catalogue ambapo utaona NMB, NBC,CRDB,AZANIA, TPB, n.kMbona kipekengele cha loan ess sioni sehemu ya kukopa benki zingine?
Pia sehemu ya kukupa upya benki unayodaiwa mwishoni hakuna results.
Nafika hadi mahali pa top up lakini haitoi majibu.
Msaada please
Thanks.1. Benk zingine unaziona ukibonya loan products catalogue ambapo utaona NMB, NBC,CRDB,AZANIA, TPB, n.k
2. Top up ukibonyeza Utoana Balance application then endelea kila kitu kipo wazi
Asante chief.1. Benk zingine unaziona ukibonya loan products catalogue ambapo utaona NMB, NBC,CRDB,AZANIA, TPB, n.k
2. Top up ukibonyeza Utoana Balance application then endelea kila kitu kipo wazi