Natafuta biashara nzuri

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Mawazo yenu tafadhali: nitafanya biashara gani nzuri na ya uhakika kwa mtaji wa TSh. 50M -100M?
 
Itategemea na mahali ulipo pana fursa gani,,,,
lkn kwa biashara ambayo utaweza Fanya popote kulinga na mtaji wako ni,Duka la vifaa vya ujenzi siment,nondo,mabati n.k.
Duka la jumla la bidhaa za nyumbani maftakula,viberiti,ngano,sabuni nk.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ni nyingi sana ila inategemea na ipi utaipenda kuifanya ila mie nakushaur njoo
Pm tuongelee biashara ya forex market yenye return 10% up to 20% kwa wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeweka juz dola 250 leo nna 271
Natumia robot kufanya biashara ila kufanya manual nimeshindwa na napata mda mwingi sana wa kufanya mambo yangu bila ya kujishughulisha nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yenu tafadhali: nitafanya biashara gani nzuri na ya uhakika kwa mtaji wa TSh. 50M -100M?
Kaka ingekuwa mm ndio Nina mtaji Kama huo nisingeumiza kichwa ningeanzisha duka la vifaa vya ujenzi(hardware).
Duka la vifaa vya ujenzi halina hasara nawaona watu wengi wanatajirika kupitia biashara hii na Tena wengine walianzia mitaji midogo tu chini ya milioni 20 na wametoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…