kutwamara3
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 170
- 27
Kuna kitu hapo,si bureNatafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
Sio hvyo nataka kumsaidia,Najua mwaka huu majanga.