e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 793
Habari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.
Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Dini yangu mm ni mkristo na nataka awe mkristo kama Mimi na awe na umri wa 22_26.
Nimefikia uamuzi kuandika humu maana humu niliko sio kwamba mabinti hawapo hasha. Ila tatizo nilipo huku wengi ni Islam na nimejaribu kufanya nao mahusiano ila dini ndio imekuwa tatizo. Kila nanaye mpata tunashindwana na kubadili hawataki na mm siwezi badili.
Kama uko serious ni pm.