Siyo mnaenda kuanza zero pointπππ au unataka greda lisafishe kwanza njiaUngetaja kipato chako wangekuja fasta PM
Umejaribu wangapi? Naona hujataja! Afu kumbuka kuoa siyo kujaribu, tens ajilete PM mazima!! All the best, usisahau mrejesho mkuuHabari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.
Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Dini yangu mm ni mkristo na nataka awe mkristo kama Mimi na awe na umri wa 22_26.
Nimefikia uamuzi kuandika humu maana humu niliko sio kwamba mabinti hawapo hasha. Ila tatizo nilipo huku wengi ni Islam na nimejaribu kufanya nao mahusiano ila dini ndio imekuwa tatizo. Kila nanaye mpata tunashindwana na kubadili hawataki na mm siwezi badili.
Kama uko serious ni pm.
Samahani Mkuu, naomba nijue upo mkoa gani maana kuna kitu kwenye sentensi zaako za mwisho umekiongea nahisi chaweza kuwa advantage kwangu.Habari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.
Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Dini yangu mm ni mkristo na nataka awe mkristo kama Mimi na awe na umri wa 22_26.
Nimefikia uamuzi kuandika humu maana humu niliko sio kwamba mabinti hawapo hasha. Ila tatizo nilipo huku wengi ni Islam na nimejaribu kufanya nao mahusiano ila dini ndio imekuwa tatizo. Kila nanaye mpata tunashindwana na kubadili hawataki na mm siwezi badili.
Kama uko serious ni pm.
Vizur ila ni poa ukienda kijiji maana hawa wa choklet na barger ni tabuuHabari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.