Natafuta Binti/Mwanamke wa Kuoa

Kanisani, kazini, kwenye usafiri, mtaani huko kote umeshindwa kukutana na bint? Kama una gari jaribu kupanda dala dala kwa mwezi mmoja kwenda na kurudi kazini unaweza kukutana na mwenza huko.
Ingekuwa rahisi na wewe ungekuwa umeshaolewa.
 
Ukimpata usisahau kutuletea mrejesho!!ikiwezekana na mwaliko wa harusi..kila lakheri
 
[emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
kaka suala l mke inatakiwa umuombe mungu sana akuongoze upate chema vngne itakuwia vgm mungu akutangulie
 
kaka suala l mke inatakiwa umuombe mungu sana akuongoze upate chema vngne itakuwia vgm mungu akutangulie
Amina. Na nikwel kabisa unacho kisema mkuu. But baada ya kumuomba Mungu, hatukai kanisani tu tukisubiri, tunatoka nje kutafuta ili naye aweke Baraka zake katika kumpata mke kwel. Hapa ni moja ya mahala ambapo kama yupo, yupo tu haijalishi mmekutana mazingira gani
 
Jamani mbn wengi humu ni wakina natafuta mke au Mme mnataka kusema huko mnakoishi mnaishi na wadudu na siyo watu.
 
Dah ,ila sitaki kukutendea baya kaka kila la kheri katika utafutaji "nilitaka nikupe msichana mmoja ila atakusumbua sana ameolewa mara tatu kaachika na ana tabia mbaya kweli ila akiwa mpya kwako utasema malaika huyu alikuwa wapi muda wote huo"
Yuko wapi Huyo[emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…