Natafuta binti mwenye nia ya kuolewa

Natafuta binti mwenye nia ya kuolewa

Propolis

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
34
Reaction score
50
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe na kuanzia Asta shahada (Certificate) na isizidi Shahada (Degree). Awe na kipato chake au mjasiriamali, asiwe Muislam, Msabato au Mlokole.

Niko serious kupata Mwenza wangu ili tupambane na Maisha.

Ahsanteni.
 
Ukikuwa utaacha na degree yako ya centgrade
Hili si jukwaa lake mod pelekeni hii thread mahali pake.
 
wanaume wanaochaguaga ivi hawana lolote c mnasemaga wanawake hawajui wanataka nini
cjui ndo mnawaiga wanawake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kila la kheri, ukipata utuletee mrejesho
 
Huko unakofanyia kazi hakuna wanawake? hauko serious na maisha kabisa, tafuta mke huko ofisini unakofanyika.
 
Ashasema ni mfanyakazi wa mali asili. Kule ni nyoka tu na mijusi na vyura. Sasa mkuu jamaa awowe tumbili mkuu? ???????????
Porini huwa kuna ofisi mkuu, hayo maeneo nayafahamu sana. Aache ujinga atafute mke wa maana badala ya hawa wanaoshinda kwenye FB.
 
Back
Top Bottom