Ceftriaxon
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 446
- 695
Ni ya kike mkuuNgoja nimshtue dada flan hivi ila hujasema ni saloon ya kike au kiume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo tayar dada nipo tangaSaloon iko Dar,awe serious kufanya kazi na mwaminifu,..binti anaweza toka ndani ya Dar au mikoa ya jirani na Dar,kama Morogoro,Pwani,Tanga na Dodoma..mwenye ujuzi aje PM..Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saloon iko Dar,awe serious kufanya kazi na mwaminifu,..binti anaweza toka ndani ya Dar au mikoa ya jirani na Dar,kama Morogoro,Pwani,Tanga na Dodoma..mwenye ujuzi aje PM..Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi yenyewe 1 unatangazia ulimwengu hata katibu wa UN hatangazwi hivo