New member
Member
- Jan 18, 2014
- 7
- 2
Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha.
Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.
Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.