N New member Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 2 Sep 30, 2024 #1 Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.
Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.