Natafuta Binti wa kiarabu, Arusha.

Von_rajj

New Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Naitwa Rajj nipo nipo Chuga, nina umri wa miaka 25. Natafuta binti wa kiarabu umri kati ya miaka 18-24 kwa ajili mya kumuandaa kuwa mke wangu.

Nitumie meseji no 0766341701 au email eclipsekite@yahoo.com:busu
 
mbona kabila langu halitafutwi
 
Mkorogo na nywele za maiti zilivyoshamiri siku hizi utamjuwa nani ni mwaarabu na nani ni mmeru? siku hizi uarabu, uhindi, uzungu kwenye mikebe tu.
 
Mkorogo na nywele za maiti zilivyoshamiri siku hizi utamjuwa nani ni mwaarabu na nani ni mmeru? siku hizi uarabu, uhindi, uzungu kwenye mikebe tu.

dada Umesahau kope ndefu kama mkia wa tausi na nyusi za kuchora na utomvu wa tatoo.
cc FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…