NakuombeaSifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi
Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu
Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Ishalaaah nifanikiwe
Huu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?
Nakuombea upate mke mwema.
Mkuu kila la kheriSifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi
Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu
Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Huna hata mdogo wako au shosti wako akaokoe jahazi kwa ngosha? Asidharau kwa kuwa anafanya biashara ndogo.. blaza bado ako jengo jeupe anaweza kumtoa pale wizara ya viwanda na biasharaHuu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?
Nakuombea upate mke mwema.
Wa mitandaoni hawaaminiki kama ningekutana nae mtaani ningempa mdada mzuri mtoto wa rafiki yangu she is just 25 ana kazi ,mama yake mambo safiπ.hawa wa mitandaoni hapanaHuna hata mdogo wako au shosti wako akaokoe jahazi kwa ngosha? Asidharau kwa kuwa anafanya biashara ndogo.. blaza bado ako jengo jeupe anaweza kumtoa pale wizara ya viwanda na biashara
Mimi huyo nikufate?πππHuu ndo ujinga stakagi sikia.sorry nimetumia neno ujinga usilichukulie vibaya.Njoo pm, tuyajenge yajayo
Asa ningetaka wa tatu unadhani wewe ungekuwa wapi muda huu? Au kwakuwa na mimi wa mitandaoni ungenipiga chini?Wa mitandaoni hawaaminiki kama ningekutana nae mtaani ningempa mdada mzuri mtoto wa rafiki yangu she is just 25 ana kazi ,mama yake mambo safiπ.hawa wa mitandaoni hapana
Embu piga picha watakaompigia leo ni wa ngapi?
Kati yao atakutana na wangapi kuchagua?
Kati ya atakaokutana nao wangapi atawla kimasihara?
Vip wewe hutaki kuongeza mke wa 3? Maana wa pili sky anajulikana.wa kwanza first lady mama laoπππ
Ndo ujinga wenyewe huo sasa, kwanini unaomba usichukuliwe vibaya kwenye ujinga?Mimi huyo nikufate?πππHuu ndo ujinga stakagi sikia.sorry nimetumia neno ujinga usilichukulie vibaya.
Handsome wa Taifa![emoji1][emoji1][emoji1]