Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Umemjibu vizuri ila inshallah haimaanishi asante... Maana yake ni mungu akipendaHakunaga neno la kiislam hilo ni neno la kiarabu likiwa na maana asante yapo meng kama marahaba mujarab mashalaaah na nk kiarabu ni lugha kama lugha zingine tu kiarabu sio kiislamu
π€£π€£π€£Rafiki kumbe wewe ni mtu mbaya kiasi hiki?πTaifa la kinameko naona kabila ndo lile lile la ajabuajabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rafiki kumbe wewe ni mtu mbaya kiasi hiki?[emoji1]
Hahaa usijudge wote kwa sababu ya kosa la mmoja
Mkuu kila la kheri
Hiyo funguo umening'iniza hapo ni ya IST au Altezza? Hiyo ungeiweka wazi mapema ni added advantage kwa wachuchu wa JF
Afu yule Paula wa Kajala ana miaka 20 hivi sasa, jina linaelekea ni la ukolomojeni, hebu India Insta fasta ujaribu bahati yako mwanawane
πππnidhamu ya woga ati.Ndo ujinga wenyewe huo sasa, kwanini unaomba usichukuliwe vibaya kwenye ujinga?
Nisingekuweza sijuagi kugombana na mtu. Mtu unakodolewa macho hadi humu mm nijichomeke ntawezaπ nani afe kwa pressure?Asa ningetaka wa tatu unadhani wewe ungekuwa wapi muda huu? Au kwakuwa na mimi wa mitandaoni ungenipiga chini?
Duh hiki kibuti ulichonipiga, acha nimwachie tu Maulana.... khaa..Nisingekuweza sijuagi kugombana na mtu. Mtu unakodolewa macho hadi humu mm nijichomeke ntawezaπ nani afe kwa pressure?
Woga ukizidi sana utashindwa kupata watoto... shauri zakoπππnidhamu ya woga ati.
Hajamfikia my Mshana[emoji13]Handsome wa Taifa![emoji1][emoji1][emoji1]
In sha Allah ni neno la kiarabu lenye maana ya Allah Akijaalia/AkipendaHakunaga neno la kiislam hilo ni neno la kiarabu likiwa na maana asante yapo meng kama marahaba mujarab mashalaaah na nk kiarabu ni lugha kama lugha zingine tu kiarabu sio kiislamu
πππHajamfikia my Mshana[emoji13]
Haya sasa changamkia fursa haina haja tena ya kusubiri mahusiano yaliyolegea ujichomeke ππHuu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?
Nakuombea upate mke mwema.
Aaah wapi huyu bado mdogo. Huyu hapana ππHaya sasa changamkia fursa haina haja tena ya kusubiri mahusiano yaliyolegea ujichomeke ππ
Mkuu hiyo hapo ni funguo ya Ghetto ???Sifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi
Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu
Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Hongera kwa ujasiri seza waneSifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi
Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu
Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935