Natafuta Binti wa kuanzisha nae mahusiano

Natafuta Binti wa kuanzisha nae mahusiano

Ballack-13

Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
63
Reaction score
82
sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
 
Mkuu tangu 2019 una miaka 30?



 
We jamaa tangu 2019 una miaka 30?



Aisee
 
We jamaa tangu 2019 una miaka 30?



Amekamatika
 
We jamaa tangu 2019 una miaka 30?



Hapo kaandika 32
 
We jamaa tangu 2019 una miaka 30?



Sio vizuri 😂😂
 
Back
Top Bottom