Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 82
AiseeWe jamaa tangu 2019 una miaka 30?
Natafuta mchumba/Msichana wa Kuoa
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30 Dini awe mkristo Elimu yake kuanzia form four na kuendelea Rangi yoyote sibagui Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali Sifa zangu Mimi Miaka 30 Elimu yangu Degree Kazi yangu mfanyabiashara Dini yangu Mkristo Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa Sent...www.jamiiforums.com
Kuwa na miaka 30 tangu 2019 kitaalamu tunaiitaje?Aisee
sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
Mode, mbona umetoka nje ya madaMitano tena
Reverse orderKuwa na miaka 30 tangu 2019 kitaalamu tunaiitaje?
Miaka imegandaKuwa na miaka 30 tangu 2019 kitaalamu tunaiitaje?
AmekamatikaWe jamaa tangu 2019 una miaka 30?
Natafuta mchumba/Msichana wa Kuoa
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30 Dini awe mkristo Elimu yake kuanzia form four na kuendelea Rangi yoyote sibagui Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali Sifa zangu Mimi Miaka 30 Elimu yangu Degree Kazi yangu mfanyabiashara Dini yangu Mkristo Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa Sent...www.jamiiforums.com
Alikamatwa na alien'sMiaka imeganda
Kila la kheri Mkuu.sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
Ukipata ntagAmekamatika
Sawa mkuuUkipata ntag
Hapo kaandika 32We jamaa tangu 2019 una miaka 30?
Natafuta mchumba/Msichana wa Kuoa
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30 Dini awe mkristo Elimu yake kuanzia form four na kuendelea Rangi yoyote sibagui Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali Sifa zangu Mimi Miaka 30 Elimu yangu Degree Kazi yangu mfanyabiashara Dini yangu Mkristo Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa Sent...www.jamiiforums.com
Ame-editHapo kaandika 32
Sio vizuri 😂😂We jamaa tangu 2019 una miaka 30?