Natafuta Binti wa kuanzisha nae mahusiano

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
umekua ukitafuta mchumba tangu 2019, tangu kipindi hicho umekuwa ukiandika miaka 30

Leo wamekushitukia ukuaona u-edit uweke 32, inaweza kuwa wew ni tapeli unataka tapeli dada zetu, hivi inamaanisha tangu 2019 mpka leo haujapata mchumba

Kuweni makini mtako mp
 
Nikushauri. Tembelea maofisini utakutana na wadada walinzi wa Suma JKT naambia utakuja kunishukuru. Humu hakuna mke wa kuoa. Utapoteza muda. Tembelea maofisini na kila mchana unampa 5000 ya lunch. Wanahitaji sana ndoa.
 
Hiyo inaitwa introduction of problematic marriage
Hahahahahh for real aseeee
Kama kaanza kuongopa kwa jambo dogo la umri,hiyo ndoa itakuwa na matatizo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…