Dume la Nyani
Member
- Apr 14, 2011
- 37
- 8
Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!
Yesterday u said u don't know kiswahili. How comes u hav understood this?Here i am miss america
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..
Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!
Yesterday u said u don't know kiswahili. How comes u hav understood this?
there s my translator behind..he translated ths thread to me.,dats it!
Lol...Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!
Ni PM hapo twende kazi
Hivi wewe ndiye ulianzisha ile sredi eeNi PM hapo twende kazi
Hivi wewe ndiye ulianzisha ile sredi ee
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..
Kijana umemaliza chuo badala ya kutafuta kazi, unatafuta binti wa kuchat naye.mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..
Badili jina kwanza! Halafu NO yenyewe haipatikani.