Natafuta binti wa kumuoa

lutelemla

Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
23
Reaction score
31
Hello,
Poleni na majukumu ya kila siku ya kujipatia ridhiki na kulijenga Taifa.

Back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- mume,miaka 30
Kimo- urefu wa wastani wa 6feet
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
Ndoa- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Elimu- Diploma
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Jinsi -mke
Umri -awe na miaka 20-28
Kimo - mrefu wa wastan wa feet 5
Ndoa -awe single na hajawahi kuzaa
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam

N:B Awe tayari kupima magonjwa, mimi niko tayari pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…