komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Makanisani ni wachache zaidi mkuu.Na wasabato mlivyokuwa wachache
Sio ukamtamfute huko makanisani kwenu wamejaa tele
Ha ha haaaa
NakuombeaHbr wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30, mhitimu wa chuo kikuu na nimejiriwa ofisi moja hapa Dsm.
Natafuta binti wa kuoa...
Muhimu : awe msabato / ajiandae kubadili dini kua msabato.
Sifa za ziada:
Asiwe mfupi
Awe amesoma angalau elimu yoyote ya chuo kikuu
Awe mvumilivu
Awe na sura nzuri
Umri usizidi miaka 28
Alie serious ani PM. Ahsanteni
Im hereHbr wadau,

Waoooh mm pia nimsabato nipo hapaHbr wadau,