Natafuta binti wa kuoa

Natafuta binti wa kuoa

Mmmm! siku hizi kuolewa hadi utume maombi kama vile watafuta kazi. Ina maana baadae utawa "shortlist" na kuwaita kwenye "interview". Mimi naomba niwe miongoni mwa interviewer hapa lazima vigezo na masharti vizingatiwe.
 
hujui kutong'oza barabarani wamejaa kibao.
 
Busara inahitajika sana tunapojib post ya mtu

pia kama huna msaada ni vyema ukakaa kimya kuliko kumdiscourage mtu ambaye yupo serious.mkuu WASIWASI asante sana kwa ushauri wako kwa vijana wetu hawa waliokosa staha wakati mwingine
 
Last edited by a moderator:
hujui kutong'oza barabarani wamejaa kibao.

punguza majibu ya kejeli Emma ili utizame vizuri unachocomment kwasababu hatuna neno kutong'oza bali kutongoza.
 
Last edited by a moderator:
Mke! mbona umeanza kutaja kua unafanya kazi kwenye kampuni kubwa hapa Dar! na mashaka na wewe... umejua kua wanawake wanataka watu wenye kazi nzuri eeh ! Kua ,mkweli hayo mengine atayajua baadae
 
ushauri mkuu..namaanisha jaman i'm not kidding
Inawezekana unamaanisha lakini staili uliyoitumia siyo. Kosa la kwanza: kujitangaza unafanya kazi kampuni kubwa huna tofauti na matapeli wa mtaani ambao wanatumia njia hizo hizo. Kosa la pili: kusema waliotayari watume maombi kwa watu wa saikolojia wanasema huna uhitaji wa dhahiri na ni udhalilishwaji wa jinsia nyingine. Kumbuka mwanamke anahitaji kubembelezwa japo moyoni anakuwa anapenda na ukiwa tayari kujishusha utampata mke mwema. Ndo hayo tu.
 
Ujana umelia wapi uzee uje kula na watoto wawatu hukohuko ulikovalia surualii katafute huko
 
jaman si ndo sabab kuna page ya love connect hapa JF..najaribu kutumia njia hii labda ntapata mafanikio

Nina hakika ya mambo yatarajiwayo humu hatuna wachumba.Ulimi wako mzito kama wa musa kwakutongoza.
 
Back
Top Bottom