Little Elytct
Member
- Nov 13, 2018
- 25
- 17
its impossible,mola alipanga lazma iwe ke&meSi uzae mwenyew tu mkuu
Kwanini uogope kuoa lakini usiogope kulea?
sipendi stress za wanawake wa ulimwengu wa leo,so tukizaa mi ntalea yeye ata akiendelea na mambo yakeKwanini uogope kuoa lakini usiogope kulea?
nmetaja umri uliochini yangu il baadae labda ataweza kunishawish nikaweka ndani umri usiwe kikwazo ila kwa sasa mawazo ya kuoa hayapo kabisaFemales waaohitaji kuzaa bila mpango wa kuolewa wengi wapo kwenye 30s na si umri ulioutaja
Basi zaa mwenyewe
Nakushauri owa, au unataka kuzaa nje?mu wazima nyote,straight to point: awe na miaka kuanzia 18-25,stojar dini,rangi wala kabila.NB wa kuzaa nae tu sina time na kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanazngua san so bora kulea mtoto yeye aendelee na mambo yakeNakushauri owa, au unataka kuzaa nje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si uzae mwenyew tu mkuu