CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Uliwapata mkuu?.Habari zenu wadau?
Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?
Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
Unatengeneza mwenyewr mkuu kutoka uchafu wa sokoniHabari zenu wadau?
Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?
Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
Kunajamaa yangu kasnza kuzalisha yupo dar
Nahitaji kujenga rearing unit na utaalamu wa jinsi ya kuzalisha,.kuanzia mwanzo hadi mwisho.Niko KIBITI-PWANIUko wapi? Unawexa pata Larvae yake
Huwa kinacho uzwa ni either mayai au Larvae.
Wale fly huwezi wasafarisha. Na uhanitaji kilo ngapi?
Nishakutumia pmNaweza kupata mawasiliano yake?
Kama bado ujapata msaada karibu
pm takusaidia hatua zote kuwanzia kuanda rearing unit, jinsi ya kuwapata, kuwavuna, kufanya analysis ya ingredient, kutengeneza pellets na mengine utakayo hitaji msaada. Karibu Pm.
Nahitaji kujenga rearing unit na utaalamu wa jinsi ya kuzalisha,.kuanzia mwanzo hadi mwisho.Niko KIBITI-PWANI