Natafuta blog and youtube channel partner

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya

www.supersoundtz.blogspot.com

njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
 
Toa maelezo ya kutosha yaan mchango wa partner n up yaaan
 
Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya

www.mjivunitech.blogspot.com

njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Mkuu labda unaweza kutuzuja vizuri kua vigezo vipi vya partner wako(sifa), kazi yake nini na wapi.
Yaani full details tupo tunasubiri majibu.
 
Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya

www.mjivunitech.blogspot.com

njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Kazi kubwa ya partner wako itakua ni ipi boss...
 
Back
Top Bottom