Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Mkuu labda unaweza kutuzuja vizuri kua vigezo vipi vya partner wako(sifa), kazi yake nini na wapi.Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya
www.mjivunitech.blogspot.com
njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Kazi kubwa ya partner wako itakua ni ipi boss...Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya
www.mjivunitech.blogspot.com
njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Hapo ukinipata vizuri tutabonga.Kutafuta content za blog
Mimi mkuuNjoo pm
πππYeap km ipo ready