Natafuta Blogs za wabongo zinazofanana na ile zeutamu.

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
29
Please :Kama kuna mtu anazielewa naomba .
 
Kuna mtu kakuboa unataka kumtundika nini broda?
 
Kurudia enzi za utamu ni kurudi kwenye ujima.
Wakali wa photoshop watatoa picha za wazazi wetu wakiwa utupu tukose pa kuweka nyuso zetu.
 
Kurudia enzi za utamu ni kurudi kwenye ujima.
Wakali wa photoshop watatoa picha za wazazi wetu wakiwa utupu tukose pa kuweka nyuso zetu.

a word of wisdom man!!!!
 
mkuu kwenye blog kama ile ya ze utamu ulikuwa unafaidika na nini? acha hzo bwana ok...tembelea ngumbukethegreat.blospot.com utapata vitu ambavyo vinakufaa
 
Hivi kiswahili bado ni kigumu kiasi hichi kwa baadhi ya watu ?jitihada za ziada zinahitajika .
Hapo sio suala la kiswahili....amemsaidia kwani ze utamu haina manufaaa yoyte...🙂
 
ze utamu imerudi inapatikana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…