Hi,
Naomba kujua ni wapi naweza kupata body cream inaitwa skin doctor...Naomba kujuzwa.
Naweza kukuambia nenda JD Pharmacy ukaulizie kumbe ushaenda ndio maana nimeuliza.Nimekuja mbio najua nishajibiwa kumbe na ww unauliza
Haya ukaanzie huko. Ukimaliza nenda Nakiete Pharmacy.Asante mkuu hapo sijaenda