natafuta boyfriend

huzayma

Senior Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
126
Reaction score
31
hii kweli kweli tuache utani.

Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.

1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.
 
non citizen,ulitaka kusema nini?:scared:
 

hapo kwenye bold sijui kama utawapata humu maana hii forum wambali ni wakenya na uganda basi wengine ni miafrika ya kitz..
 
Mimi ktk condition zote nipo ispokuwa mimi mtanganyika pure sasa hapo vipi?
 


boy friend awe na miaka zaidi ya 40 duuh huyo sio boy ila ni mtu mzma tena
 
Mimi ktk condition zote nipo ispokuwa mimi mtanganyika pure sasa hapo vipi?

hao ndo wamenishinda nimekubali tu yaishe, siwawezi usipokuwa na mke mwenzio wa dhahiri basi unaye wa siri, wivu kwangu hauna dawa na mengine mengi ya kitanzania tanzania.
 
kama condition zote sawa si utoe nafasi ya interview ndo utaju kila kitu mi hapo sina mtu nilikuwa Roma natumikia wapendwa yamenishinda ndo nimerudi home.
 
Duh ukiona hivyo huna mvuto dada ingia useja tu.

kwani kutafuta boyfriend ndo kukosa mvuto? sikusema sitongozwi nimesema watanzania wenzangu wamenishinda kwa matatizo mbali mbali ambayo sina uvumilivu nao. i wish ungeniona one day japo njiani tu kuthibitisha usemi wako.
 
kama condition zote sawa si utoe nafasi ya interview ndo utaju kila kitu mi hapo sina mtu nilikuwa Roma natumikia wapendwa yamenishinda ndo nimerudi home.

kisha unanivunja mbavu mie, wewe hujatimiza masharti ni raia wa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…