Natafuta Boyfriend.

Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
wallah mi ntakuonga ata gari ka utakubaliana na masharti yangu thawa!
 
Last edited by a moderator:
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.

Ni PM mimi ni the best Suiter!!! Yaaaaaani uta enjoy, not zipo mama!!! Na mkuno wa nguvu upo nakupeleka round hadi unyanyue mkono!!! Ile ya Ebony kabisa!! Ila nihakikishie wewe si kati ya wale vicheche wa Arusha maana ukikutana navyo ni hatari!! Wanawake wana line za simu over 30 kila moja ina Bwana wake!! Ukiwa naye ile line yako ndo inakuwa on na unafurahi eti huyu kimodo wangu anaye mimi tu !!! Ha ha ha!! Kanyaga boya!
 
kweli niko Arusha mjini, ni handsome wa ukweli, pesa iko kiasi cha kuridhisha ila nina miaka 26 itakuaje sasa. nipe namba basi tuwasiliane
 
Mirhea, ur very veery confident..!
Go g'rl.. Goodluck.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo profile hujaweka mama, si unajaua siku hizi kazi zikitangazwa wale walio makini lazima wapitie profile ya kampuni kwanza
 
Tatizo profile hujaweka mama, si unajaua siku hizi kazi zikitangazwa wale walio makini lazima wapitie profile ya kampuni kwanza

Wht exactly do u wanna kno?
 
Hehehehe hivi ulishapata boyfriend? Mbona hauleti mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…