Natafuta broker wa ETFs za Marekani

Natafuta broker wa ETFs za Marekani

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom