R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jan 27, 2023 #1 Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.