Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Wadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi.
Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13 mpaka 25, ambazo ni za juu mno.
Asanteni. Siku njema.