elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Nakushauri uende kwenye maduka ya used spare za magari kule kariakoo....wadau kama kichwa cha habar knavyo jieleza, nasaka bumper la nyuma la altezza gita.
mwenye nalo naomba anipe bei na wapi nitampata.
Asanten
Nakushauri uende kwenye maduka ya used spare za magari kule kariakoo....
Nenda nyuma ya shule ya uhuru mchanganyiko kuna maduka mengi ya used na jitahidi uende na hilo lililoharibika ili uchukue kitu chenye uhakika. nina uhakika hapo hukosi